Ufafanuzi wa masumbwi katika Kiswahili

masumbwi

nominoPlural masumbwi

  • 1

    mchezo wa kupigana ngumi.

    ‘Mchezo wa masumbwi unashamiri siku hizi’

  • 2

    wingi wa ngumi.

Matamshi

masumbwi

/masumbwi/