Ufafanuzi wa matabwatabwa katika Kiswahili

matabwatabwa

nominoPlural matabwatabwa

  • 1

    chakula chochote kilichopikwa vibaya na kuvurugika.

Matamshi

matabwatabwa

/matabwatabwa/