Ufafanuzi wa matapishi katika Kiswahili

matapishi

nominoPlural matapishi

  • 1

    vitu vitokavyo mdomoni mtu anapotapika.

  • 2

    maneno machafu yasiyokuwa ya adabu anayotoa mtu.

Matamshi

matapishi

/matapi∫i/