Ufafanuzi wa mategu katika Kiswahili

mategu

nominoPlural mategu

  • 1

    ukoseaji katika kuandika au kupiga chapa.

    ‘Makala haya yana mategu mengi’

Matamshi

mategu

/matɛgu/