Ufafanuzi wa matembele katika Kiswahili

matembele

nominoPlural matembele

  • 1

    majani ya viazi vitamu yatumikayo kuwa ni mboga.

    ‘Mboga ya matembele’
    mtolilo, mriba

Matamshi

matembele

/matɛmbɛlɛ/