Ufafanuzi wa matibabu katika Kiswahili

matibabu

nominoPlural matibabu

  • 1

    dawa na huduma inayotolewa kwa kumtibu mgonjwa.

    gango

Matamshi

matibabu

/matibabu/