Ufafanuzi wa matlai katika Kiswahili

matlai

nominoPlural matlai

  • 1

  • 2

    pepo zinazotoka mashariki.

  • 3

    msimu wa pepo zinazovuma kutoka mashariki.

  • 4

    macheo

Asili

Kar

Matamshi

matlai

/matlaji/