Ufafanuzi wa matumizi katika Kiswahili

matumizi

nominoPlural matumizi

 • 1

  namna ya kusarifu fedha au vitu.

  ‘Matumizi yake si mazuri’

 • 2

  gharama ya kuendeshea jambo au shughuli fulani.

 • 3

  namna ya utumiaji.

  utumiaji

Matamshi

matumizi

/matumizi/