Ufafanuzi wa matunguu katika Kiswahili

matunguu

nominoPlural matunguu

  • 1

    mmea unaofanana na kitunguu; kitunguu mwitu.

Matamshi

matunguu

/matungu:/