Ufafanuzi wa Mau Mau katika Kiswahili

Mau Mau

nominoPlural Mau Mau

  • 1

    vuguvugu la mapambano ya kupigania uhuru nchini Kenya kutoka kwa ukoloni wa Waingereza yaliyoanza mwaka 1950 hadi 1963, Kenya ilipopata uhuru.

Matamshi

Mau Mau

/mawu mawu/