Ufafanuzi wa maudhui katika Kiswahili

maudhui

nominoPlural maudhui

  • 1

    mambo muhimu yanayoelezwa k.v. katika hadithi, riwaya, hotuba au makala.

Asili

Kar

Matamshi

maudhui

/mawuðuji/