Ufafanuzi msingi wa mauja katika Kiswahili

: mauja1mauja2

mauja1

nominoPlural mauja

  • 1

    mambo ya hatari au ghasia.

Asili

Kar

Matamshi

mauja

/mawuʄa/

Ufafanuzi msingi wa mauja katika Kiswahili

: mauja1mauja2

mauja2

nominoPlural mauja

kishairi
  • 1

    kishairi miujiza.

Asili

Kar

Matamshi

mauja

/mawuʄa/