Ufafanuzi wa maulizio katika Kiswahili

maulizio, mauli

nominoPlural maulizio

  • 1

    sehemu ya mapokezi kazini au ofisini ambako wageni wanapatiwa taarifa kuhusu kazi, wafanyakazi na kadhalika, pamoja na kuuliza na kuambiwa mambo.

    maulizo

Matamshi

maulizio

/mawulizijɔ/