Ufafanuzi wa mauti katika Kiswahili

mauti

nominoPlural mauti

  • 1

    hali inayomfanya kiumbe kukosa uhai.

    kifo, ahadi, hilaki, ajali

Asili

Kar

Matamshi

mauti

/mawuti/