Ufafanuzi wa Mauti ahamaru katika Kiswahili

Mauti ahamaru

msemo

  • 1

    mauaji yanayosababisha damu nyingi kutoka, hasa kifo kinachosababishwa na kuchomwa kwa upanga; kifo kibaya cha kutisha kinachomtokea mtu kwa ghafla.