Ufafanuzi wa mauzauza katika Kiswahili

mauzauza

nomino

  • 1

    hali ya ovyoovyo isiyotambulikana.

  • 2

    kiinimacho, mazingaombwe, mizungu, mazingazi

Matamshi

mauzauza

/mawuzawuza/