Ufafanuzi wa mavune katika Kiswahili

mavune

nomino

  • 1

    maumivu ya mwili yanayotokana na uchovu, hasa baada ya kufanya kazi za sulubu.

Matamshi

mavune

/mavunÉ›/