Ufafanuzi wa mawano katika Kiswahili

mawano

nominoPlural mawano

  • 1

    kiapo kinachoapwa kwa kutumia kijiti na kamba huku mtu akinuia.

Matamshi

mawano

/mawanɔ/