Ufafanuzi wa mawenge katika Kiswahili

mawenge

nominoPlural mawenge

  • 1

    makengeza.

  • 2

    hali ya kutokuwa na akili tulivu.

Matamshi

mawenge

/mawɛngɛ/