Ufafanuzi wa mazalio katika Kiswahili

mazalio

nominoPlural mazalio

  • 1

    sehemu ambayo wanyama, wadudu, n.k. huzalia.

    ‘Nyasi hizo ni mazalio ya mbu’

Matamshi

mazalio

/mazalijɔ/