Ufafanuzi wa maziga katika Kiswahili

maziga

nominoPlural maziga

  • 1

    sufuria ya kishikio au vishikio na mfuniko inayotumiwa kupikiwa k.v. nyama kwenye jiko.

  • 2

    bakuli la kioo kigumu, lenye mfuniko au bila, linaloweza kutumiwa kukaangia au kupashia chakula kwenye oveni au maikrowevu na kuandaliwa mezani.

Matamshi

maziga

/maziga/