Ufafanuzi wa mazigazi katika Kiswahili

mazigazi

nomino

  • 1

    athari ya hali ya hewa inayofanya ardhi kavu au barabara ya lami ionekane kama ina maji wakati wa jua kali.

    mangati, sarabi

Matamshi

mazigazi

/mazigazi/