Ufafanuzi wa mazingira katika Kiswahili

mazingira

nomino

  • 1

    hali au mambo yanayomzunguka kiumbe katika sehemu anapoishi au maisha yake.

Matamshi

mazingira

/mazingira/