Ufafanuzi wa mazishi katika Kiswahili

mazishi

nomino

  • 1

    shughuli zote kwa jumla zinazofanyiwa maiti mpaka kwenda kuzikwa.

Matamshi

mazishi

/maziāˆ«i/