Ufafanuzi wa mazoezi katika Kiswahili

mazoezi

nominoPlural mazoezi

  • 1

    kitendo au vitendo vinavyofanywa, agh. na watu, ili kujiweka katika hali ya kuwa tayari kwa jambo maalumu.

    ‘Mazoezi ya mpira’

  • 2

    kitendo au vitendo vinavyofanywa na mtu ili kuuweka mwili au sehemu ya mwili katika hali nzuri ya afya.

Matamshi

mazoezi

/mazɔwɛzi/