Ufafanuzi msingi wa mazonge katika Kiswahili

: mazonge1mazonge2

mazonge1

nominoPlural mazonge

  • 1

    hali ya mtu kutokuwa makini kwa sababu ya kushughulishwa na mambo mengi.

Matamshi

mazonge

/mazɔngɛ/

Ufafanuzi msingi wa mazonge katika Kiswahili

: mazonge1mazonge2

mazonge2

nominoPlural mazonge

  • 1

    mtu aliye katika hali ya kukosa makini kwa sababu ya kushughulishwa na mambo mengi.

Matamshi

mazonge

/mazɔngɛ/