Ufafanuzi msingi wa mbaazi katika Kiswahili

: mbaazi1mbaazi2

mbaazi1

nominoPlural mibaazi, Plural mbaazi

  • 1

    mmea uzaao vitumba vyenye mbegu ndogo zifananazo na k.v. fiwi au kunde.

Matamshi

mbaazi

/m mba:zi/

Ufafanuzi msingi wa mbaazi katika Kiswahili

: mbaazi1mbaazi2

mbaazi2

nominoPlural mibaazi, Plural mbaazi

  • 1

    mbegu za mmea wa mbaazi.

Matamshi

mbaazi

/mba:zi/