Ufafanuzi wa mbadhirifu katika Kiswahili

mbadhirifu

nomino

  • 1

    mtu atumiaye mali kwa fujo.

    mfujaji, fisadi

Asili

Kar

Matamshi

mbadhirifu

/m baĆ°irifu/