Ufafanuzi wa mbalanga katika Kiswahili

mbalanga

nominoPlural mbalanga

  • 1

    ugonjwa unaobadilisha rangi ya ngozi na kuwa na mabaka au vitone.

    barasi

Asili

Kar

Matamshi

mbalanga

/mbalanga/