Ufafanuzi wa mbalimbali katika Kiswahili

mbalimbali

kivumishi

  • 1

    -siofanana, -siohusiana.

    tofauti

  • 2

    pasipo kukaribiana au kuchanganyika.

Matamshi

mbalimbali

/mbalimbali/