Ufafanuzi wa mbalungi katika Kiswahili

mbalungi

nominoPlural mibalungi

  • 1

    mti uzaao matunda kama machungwa makubwa; mti uzaao mabalungi.

Asili

Kar

Matamshi

mbalungi

/m balungi/