Ufafanuzi wa mbamba katika Kiswahili

mbamba

nominoPlural mibamba

  • 1

    chane za miti ya miale ambazo hutumiwa kusukia madema.

Matamshi

mbamba

/m bamba/