Ufafanuzi wa mbamia katika Kiswahili

mbamia

nomino

  • 1

    mmea uzaao matunda ambayo yakitiwa maji huteleza kama pombo.

    mbinda

Asili

Kar

Matamshi

mbamia

/m bamija/