Ufafanuzi msingi wa mbanjo katika Kiswahili

: mbanjo1mbanjo2

mbanjo1

nominoPlural mibanjo

  • 1

    namna ya kuvunja au kupasua.

Matamshi

mbanjo

/m banʄɔ/

Ufafanuzi msingi wa mbanjo katika Kiswahili

: mbanjo1mbanjo2

mbanjo2

nominoPlural mibanjo

  • 1

    zawadi au nguo za kwanza apelekewazo mchumba.

Matamshi

mbanjo

/m banʄɔ/