Ufafanuzi wa mbano katika Kiswahili

mbano

nomino

  • 1

    hali ya kubanwa.

  • 2

    kipande cha mti kinachopasuliwa katikati kwa ajili ya kubanikia samaki au nyama.

Matamshi

mbano

/m banÉ”/