Ufafanuzi wa Mbantu katika Kiswahili

Mbantu, Bantu

nomino

  • 1

    mtu wa kabila mojawapo miongoni mwa makabila zaidi ya 400 yaliyo katika eneo la Afrika kuanzia mashariki hadi kusini mwa Sahara.

Matamshi

Mbantu

/m bantu/