Ufafanuzi wa mbaraza katika Kiswahili

mbaraza

nominoPlural wabaraza

  • 1

    mtu anayeshiriki kwenye mazungumzo na kuweza kusikilizana na wenzake.

    ‘Fulani si mbaraza’

Matamshi

mbaraza

/m baraza/