Ufafanuzi wa mbatata katika Kiswahili

mbatata

nominoPlural mbatata

  • 1

    kiazi duara kisicho na utamu wa sukari kama kiazi kitamu.

    kiazi mviringo, kiazi ulaya, kiazi

Matamshi

mbatata

/mbatata/