Ufafanuzi wa mbatizaji katika Kiswahili

mbatizaji

nominoPlural wabatizaji

Kidini
  • 1

    Kidini
    kiongozi wa dini k.v. padri, kasisi au mchungaji anayemtia mwongofu maji na kumpa jina katika ibada ya kumwingiza katika dini ya Ukristo.

Matamshi

mbatizaji

/m batizaʄi/