Ufafanuzi wa mbawala katika Kiswahili

mbawala

nominoPlural mbawala

  • 1

    mnyama wa mwitu wa jamii ya paa, mdogo kuliko kulungu na mkubwa kuliko funo.

Matamshi

mbawala

/mbawala/