Ufafanuzi wa mbayaya katika Kiswahili

mbayaya

nominoPlural mibayaya

  • 1

    mmea mrefu wa futi sita hivi wenye kishada cha miba.

Matamshi

mbayaya

/m bajaja/