Ufafanuzi wa mbegu katika Kiswahili

mbegu

nomino

  • 1

    kitu k.v. kiini, punje, konde au kokwa kinachopandwa ili kutoa mmea.

Matamshi

mbegu

/mbɛgu/