Ufafanuzi wa mbeja katika Kiswahili

mbeja

nominoPlural wabeja

  • 1

    mwanamke nadhifu anayeutunza mwili wake vizuri.

Asili

Kar

Matamshi

mbeja

/mbɛʄa/