Ufafanuzi wa mbelewele katika Kiswahili

mbelewele

nominoPlural mbelewele

  • 1

    sehemu ya mmea wa mahindi au mtama inayobeba chavua.

Matamshi

mbelewele

/mbɛlɛwɛlɛ/