Ufafanuzi wa mbeya katika Kiswahili

mbeya

nominoPlural wabeya

  • 1

    mtu mwenye tabia ya kutafuta habari za watu kisha akazitangaza.

    kilimilimi, mdaku, kidomodomo, mchunguzi, mtalaleshi, kizabinazabina, kidudumtu, domokaya, kiduhushi

Matamshi

mbeya

/m mbɛja/