Ufafanuzi wa mbezi katika Kiswahili

mbezi

nomino

  • 1

    mtu mwenye dharau; mwenye majivuno.

Matamshi

mbezi

/m bɛzi/