Ufafanuzi wa mbia katika Kiswahili

mbia

nominoPlural wabia

  • 1

    mtu unayeshirikiana naye katika shughuli za kibiashara; mtu mwenye hisa.

    mshirika

Asili

Kar

Matamshi

mbia

/m bija/