Ufafanuzi wa mbingiri katika Kiswahili

mbingiri

nominoPlural mibingiri

  • 1

    mmea wenye utomvu wa rangi ya maziwa ambao ukichanganyika na kiini cha yai hutumika kuwa dawa ya kutapisha.

Matamshi

mbingiri

/m bingiri/