Ufafanuzi wa mbingiriko katika Kiswahili

mbingiriko

nominoPlural mibingiriko

  • 1

    mzunguko wa kitu kilicho mviringo kinachosukumwa au kwenda kwa kuzungukazunguka kwenye mteremko.

Matamshi

mbingiriko

/m bingirikɔ/