Ufafanuzi wa mbingo katika Kiswahili

mbingo

nominoPlural mibingo

  • 1

    upindaji unaojitokeza mwanzoni mwa shina la mti.

Matamshi

mbingo

/m bingɔ/